Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Nahodha na beki wa timu ya Taifa ya Nigeria U20 inayoshiriki World Cup ya U20 huko Argentina, kinda mwenye miaka 17, Daniel Kolocho Bameyi imebainika kuwa alidanganya.Imezoeleka wachezaji wengi wa Kiafrika wanadanganya umri, lakini kwa Bameyi imekuwa tofauti kabisa.
Bameyi katika taarifa zake, amesema anachezea timu inayoitwa YUM YUM FC, lengo la kufanya hivyo ili aitwe timu ya Taifa.
Katika uchunguzi uliofanyika, imebainika kwamba timu hiyo YUM YUM FC haipo mahala popote pale duniani.