Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Ukisikia vituko majimboni ndio hivi
, mwenyewe yuko proud hapo kwenye picha hana hata haya

====
Mbunge wa Kinondoni Mhe. Tarimba Abbas, akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM Kata ya Magomeni Bw. Mohamed Mwinyi, Mafeni sita kwa ajili Ukumbi wa mikutano wa Kata hiyo leo Jumanne tarehe 12 Nov, 2025.
Mbunge pia amegharamia ufungaji wa feni hizo.