Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Lakini ni mimi tu na yule mama ndio tuliokuwa tunaujua ukweli huo, halafu na mungu.
Mama yangu usimchochee huyu mdingi anapenda hela acha tu!Kwa hili una haki ya kupokea mahari mara mbili mbili
kwa Cantalisia, kweli umemtoa mbali sana.
niliwahi kuisoma kitambo......
Asante kwa kuirudisha......ina mafunzo.....
Wanaumeeeee mpo? Mnaona? Wengine mabingwa wa kukataa mimba wakati walipata utamu wote....
Edoedward1 ........Ahsante mkuu kwa kuitikia wito wa ustaarabu...........................Haya mkuu nimefanya upendavyo...sorry
Rutashubanyuma ....Yeah, nilishasema kwamba habari hii iliwahi kutoka katika gazeti la JITAMBUE........................Mtambuzi ni kweli hii ni marejeo kama BADILI TABIA anavyotuhumu?
Jaman wamama na wadada hebu tuwe na upendo kwa watoto wa wenzetu kwan hatuma maagano na mungu kuwa hata wa wakwetu tutawalea wenyewe mpaka wawe watu wazima!
Na nyie wababa hebu kuwen makin basi kwenye pita pita zenu na km kinga haikihusika dumisha mawasiliano hata kwa miezi kadhaa ili km kuna lolote mjue na kutambua watoti zenu na kuepusha mambo km haya.