Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Licha ya watu kupga majungu lakini ukweri upo pale pale king Alikiba aka mzee wa sauti za hatari zilizompagawisha R.KELLY na NEYO amezidi kufanya vyema afrika kwa mwaka huu 2016.Pongezi ziende kwake mfalme ALIKIBA anayewaumiza vichwa wasanii wa beat za tarumbeta
source MILLARD AYO