Yalkua maneno ya mkosajhahahahahah...hivi hizi tuzo za bushman mbona huwa zinakuja kimazabemazabe sana
Alafu bushman si alisema yeye hataki tuzo..
kuna hawa mameneja uchwara ndio wanaokwamisha mziki wa TZ usitue coz wanataka wao tu ndio waonekane anga za kimataifaofcoz Tanzania inapepea sasa japo kuwa zamani AY pekee ndo alikuwa anapeperusha bendera kimataifa
ni kweri kabisaa mkuu ukiusikiliza wimbo wa Babu talent ya nikki mbishi ameeleza mengi kuhusiana na hili game la muzikikuna hawa mameneja uchwara ndio wanaokwamisha mziki wa TZ usitue coz wanataka wao tu ndio waonekane anga za kimataifa
Ni kama zile tuzo za amani alizopokea EL kutoka Kongo...hahahahahah...hivi hizi tuzo za bushman mbona huwa zinakuja kimazabemazabe sana
Alafu bushman si alisema yeye hataki tuzo..