King Alikiba na back to back

King Alikiba na back to back

Libya

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2016
Posts
790
Reaction score
1,968
Kiukweli alikiba amekua ni mfano wa kuigwa Tanzania, east africa na Africa kwa ujumla

Zero scandal, zero disrespect of woman! Na anatoa nyimbo za nidhamu zenye ujumbe wa heshima na video kali sana.

Leo ametufungia week na nyimbo kali sana

Alikiba - mbio!

Alikiba! U are the best and true definition of king

IMG_20190426_180628.jpeg
 
Hahahahahaha Kwa iyo ??? Ndo anakuwa Na vieuw wengi sio
 
Zero disrespect of women sawa sawa..
 
Wabongo bhana aliekwambia views wengi you tube ndo mafanikio Nani?

Hata Marium Biriani video yake Ina views za kumwaga
Hata wakiwa na wasikilizaji wengi sportfy ,tidal na Itunes mtasema wananunua ,Wewe hukosagi la kuongea.Tetema sportfy peke yake imesikilizwa zaidi ya mara mil 1.1,hapo ndio ujue views za youtube zina reflect trending ya nyimbo katika digital platform nyingine.
 
Wimbo mdogo sana

Kama namsikiliza marioo tu au jay melody
 
Kiukweli alikiba amekua ni mfano wa kuigwa Tanzania, east africa na Africa kwa ujumla

Zero scandal, zero disrespect of woman! Na anatoa nyimbo za nidhamu zenye ujumbe wa heshima na video kali sana.

Leo ametufungia week na nyimbo kali sana

Alikiba - mbio!

Alikiba! U are the best and true definition of king

View attachment 1081973
Anajitambua sana for sure
 
Aaaah naomba niseme wazi King kazingua yani kavurunda japo kichupa kikali
 
Hii ngoma utadhani ni ya ki-undeground flani.
Video ndio kali
 
Tunaojua mzki mzur tunaburudika na kukonga nyoyo ztu kweli.....
Unajua mimi najiulizaga mtu anayekosoa wimbo kama huo huwa anazingatia nini kwenye mzki ili kwake uwe mzur? Au ndio u team unawasumbua
Kiukweli alikiba amekua ni mfano wa kuigwa Tanzania, east africa na Africa kwa ujumla

Zero scandal, zero disrespect of woman! Na anatoa nyimbo za nidhamu zenye ujumbe wa heshima na video kali sana.

Leo ametufungia week na nyimbo kali sana

Alikiba - mbio!

Alikiba! U are the best and true definition of king

View attachment 1081973
 
Hii ngoma ya huyu kibakuli leo inenifanya nimeshinda na headphone namsikiliza yeye
 
Back
Top Bottom