King Crazy GK, I miss you

King Crazy GK, I miss you

WaliNazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
851
Reaction score
96
Popote pale Ulipo Jitokeze GK.....
Ma fan wako wa ukweli tupo.....

Na we really Miss You.
 
...yuko wapi... alie na taarifa zake adondoshe hapa....
 
Yuko Tumaini university dar anasomea BA MASS COMM 3rd yr
 
Mzee wa ama zangu ama zao, aliwakilisha sana East Coast Team, Upanga
 
Hata mimi GK ni mtu ambaye namkubali kuliko msanii yeyote hapa bongo!Mipini kama NITAKUFAJE?,SISTER,SAUTI YA MANKA,TUTAKUKUMBUKA,SIMBA WA AFRIKA...Dah!kama mchizi anasoma basi All The Best.
 
... "Hii Leo"... ngoma ilifanya revolution hii..
 
... "Hii Leo"... ngoma ilifanya revolution hii..



hii ngoma ni tamu sana ikipigwa lazima nisimame kwa heshima, verse kali kwenye hii nyimbo ni ya FA, dogo alivunja vibaya na haitatokea akavunja hivi tena siku hizi anachana k.i.s.e.-.g.e.s.e.-.g.e, fill the blanks with small n.
 
Ni kweli, yupo Chuo cha Tumaini, tawi la Dar.. Anamalizia degree yake mwaka huu.. Pia anafanya vizuri sana masomo yake..
 
... "Tuko Pamoja"..ft. Paulin Zongo..
Ngoma kali hii...alivunja mnoo..
 
Kwani dozi zetu nzitooo...you're missed

Kama Jabali majibaba yenye uwezo kwenye rap hata kifedha upanga east tunatisha temeke rap style ndio mwisho kuwakilisha,nikisema A nyie machizi semeni Ooooo!!!
 
...natumaini akimaliza masomo atarud kwenye game.....
 
Nikisema one machz semen two,nkisema three machz semen O ni king craz Gk...dah ni noma we lyk ur song Gk.
 
Back
Top Bottom