;mkuu kwani huyo ndo Yule dem wake diamond?Write your reply...
hiyo picha hapo ni kwenye video ya nagharamia na bella.
ila za chini ya kapeti eti walitafutana baadaya hiyo shooting kunyengana kiukweli kweli
ndo huyo huyo dona mkuu mcheki vizuri;mkuu kwani huyo ndo Yule dem wake diamond?
πππππ
Bibi yangu hauwezi kuwa bonge kiasi hikoππRaha kama zote na bibi niko kwenye pose
View attachment 1131579
Duh Kweli what goes around comes aroundndo huyo huyo dona mkuu mcheki vizuri
Kiba hajawahi kutembea na Dona, hiyo ilikuwa kwenye video ya wimbo wa kiba. Na ilikuwa kikazo, alilipwa akasepa zakeDunia kweli inazunguka jamani, Kiba alipo mchukua Jokate Mondi alimdhihaki kwa kusema amekula makombo yake, leo Mondi amemchukua huyu binti na kujinasibu ni wa maana kuliko ma X wake wote nae anakula makombo ya Kiba, ni vizuri kuweka akiba ya maneno hata kama unataka kumnanga adui yako.
Kumbe kiburudisho ya Mondi ilishapitiwa na King???Ama macho yango mabofu bofu, nampenda sana Amina aisee mtaratibu hana mambo mengiiii, huyu dona wa watu sijawahi mpenda kabisaa