Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Mimi sio mtu wa hivi hivi.Leo nimeskiliza nyimbo mbili Za huyu Msanii kutoka Kenya.
King Kaka
(1) Swahili Shakespeare
(2) Wajinga Nyinyi.
Daah huyu jamaa anajua kuandika Bana.
Kivipi mkuuMimi sio mtu wa hivi hivi.
Leo nimeskiliza nyimbo mbili Za huyu Msanii kutoka Kenya.
King Kaka
(1) Swahili Shakespeare
(2) Wajinga Nyinyi.
Daah huyu jamaa anajua kuandika Bana.
Kivipi mkuu
Sio kila track Yake nitaijua mkuu.Kama hauijui hiyo track basi haujamfatilia vizuri Rabbit aka King Kaka.
View: https://www.youtube.com/watch?v=WoOTnoVXPmY&list=RDWoOTnoVXPmY&start_radio=1
Huyu sio wa kumchukulia poa jamaa anaandika sanawa kawaida sana, na likiswahili lake LIBOVU la kikenya.