King kiba akimbiza mbaya mbovu dar live,hatari

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
wakuu mfalme ni mfalme tu. huyu jamaa ni noumaaa. jana nilikua pale dar live hatari,king kiba kafanya balaaa kwanza kulia na nyomi ya watu ambayo haijawahi kutokea hapa dar.kawachanganya na kapagawisha watu shoo ya nguvu yaani ilikua ni cheketuaaaaaaaaaaa. huyu ndie anaitwa THE KING KIBAAAAA.hakuna bongo kama huyu mfalme,ni mtu wa kazi tu hajui kuuza sura
 
Ningeshangaa kama ungekosa..ha hahaha.. natamani nami ningekua Kiba ukawa unanikubali hivi... una mapenzi ya kweli.

Hahahaaa,umeniacha hoi si kidogo!
Kweli,namkubali sana Kiba, sana.
Wewe pia uaminifukazi nakukubali sababu u-mkweli.
 
Last edited by a moderator:
Inabidi ifiki mahali tuwe na thread yenye title "King Kiba akimbiza mbaya, mbovu Amahoro, hatari".
 
Kafanya vzr big up but sio yeye wa kwanza cos mwenzie aliujauza huo ukumbi na aliingia ukumbini na helicopter so sio issue kivile sana kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…