King Kiba kuvunja Rekodi ya Dunia: Kuwa msanii asiye m-follow mtu yeyote mtandaoni

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Kabla ya mwaka kuisha atakuwa kafikisha followers 1M bila kumfollow mtu yeyote ..............................CONGRATS KING
 
Hii kweli kali!

Nilidhani "Masikini jeuri" ni msemo tu kumbe ni vitu ambavyo vipo.
 
Beyonce ana followers milion 55.1 na hajamfollow mtu hata mmoja
 
Msanii anaengoza kw kuw na wafuas weng kutokea ukanda wetu wa Africa….. Simba Simba Simbaaa
 

Attachments

  • 1451389123206.jpg
    63.5 KB · Views: 201
Kabla ya mwaka kuisha atakuwa kafikisha followers 1M bila kumfollow mtu yeyote ..............................CONGRATS KING

Record ya Dunia?! mkuu kabla hujapost kitu tafuta material usome

Wapo wasanii wengi hawajafollow watu halafu 1M followers ni wachache sana
 
Aisee, habari zilizonifikia hivi punde Mpwilo na K 4 Real wameshindwa ku log in kwenye JF mpya. Kaazi kweli kweli. Nawaomba mods wawarudishie ile JF ya zamani hawa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…