King Kiba kuvunja Rekodi ya Dunia: Kuwa msanii asiye m-follow mtu yeyote mtandaoni

Kanye west twitter kam follow tu mke wake
 
Na Beyonce mwenye followers 55M asemeje...
Halaf mwaka unaisha kesho...hata 900K hatofikisha, labda akabebe wanyama wake wa porini aje kuwafungulia instagram account😉
King pekee asiekua na 1M followers insta hahahah ncheke mie..maana hadi Millard ayo anamzidi..wapi shiloleee
 
Kabla ya mwaka kuisha atakuwa kafikisha followers 1M bila kumfollow mtu yeyote ..............................CONGRATS KING
Atavunja record ya dunia?hivi kwanini mnajitoaga ufahamu kiasi hiki?? Tena kwa makusudi.
 
Mtanzania anayeongozoza kwa followers wengi anaitwa maya_mia mwezi wa 6 alikuwa na followers million1.6 ni make up artist huyu dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…