King kibaden: Mechi ya Simba vs Dynamos haikuwa ya ushindani

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Haukuwa mchezo wa ushindani,Power Dynamos walikuwa kutupongeza tu lakini sio ushindani" - King Kibadeni

Kwako wewe unaonaje?
Credit: TV3

NB: Je mnyama alitoa 10% Kwa wapinzani ...Ili asiaibishwe
1671689266763.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
ulikuwa mchezo wa lirafuki, hata angekuja man city bado usingekuwa mchezo wa ushindani, ushindani ni kwenye mechi za kutafuta point/kikombe.. hvyo vipimo rasmi vinaanza kwenye ngao ya kijamii
 
"Haukuwa mchezo wa ushindani,Power Dynamos walikuwa kutupongeza tu lakini sio ushindani" - King Kibadeni

Kwako wewe unaonaje?
Credit: TV3

NB: Je mnyama alitoa 10% Kwa wapinzani ...Ili asiaibishweView attachment 2710723

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hii mechi imekaa kimitego sana. Ukiacha kua ya kirafiki lakini pia timu hizi zinaweza kukutana kwenye Michuano ya CAF endapo Power Dynamo atamtoa mpinzani wake.

Ukiweka silaha zako zote na ukaonyesha ujuzi wako wote siku mkikutana kwenye mechi za CAF utakua kwenye disadvantage position
 
So unadhani nani kacheza karata mzuri kati ya hawa wawili

Back
Top Bottom