King kibaden: Mechi ya Simba vs Dynamos haikuwa ya ushindani

ulikuwa mchezo wa lirafuki, hata angekuja man city bado usingekuwa mchezo wa ushindani, ushindani ni kwenye mechi za kutafuta point/kikombe.. hvyo vipimo rasmi vinaanza kwenye ngao ya kijamii
 
Hii mechi imekaa kimitego sana. Ukiacha kua ya kirafiki lakini pia timu hizi zinaweza kukutana kwenye Michuano ya CAF endapo Power Dynamo atamtoa mpinzani wake.

Ukiweka silaha zako zote na ukaonyesha ujuzi wako wote siku mkikutana kwenye mechi za CAF utakua kwenye disadvantage position
 
So unadhani nani kacheza karata mzuri kati ya hawa wawili

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…