King Leopard hatajwi kama muovu kisa aliua watu weusi

King Leopard hatajwi kama muovu kisa aliua watu weusi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hitler aliua wazungu milioni 2 na anatwaja kama mtu mouvu zaidi kuwahi kutokea ila king Leopard wa Belgium aliua black people Congo hapo zaidi ya watu milioni 20 lakini hatajwi sana kwenye list ya watu waovu zaidi.

Kuna shida kwenye historia.
 
Wazungu ndio wanaandika historia sasa ukiambiwa mtu mweusi ulikuwa nyani unakubari kuamin ujinga waoo
 
Hitler aliua wazungu milioni 2 na anatwaja kama mtu mouvu zaidi kuwahi kutokea ila king Leopard wa Belgium aliua black people Congo hapo zaidi ya watu milioni 20 lakini hatajwi sana kwenye list ya watu waovu zaidi.

Kuna shida kwenye historia.
Kwanini ninyi Watu weusi msimtaje kama Mtu muovu zaidi?

Mbona Waarabu mnawataja kila siku kuwa ni Magaidi Au Kwasababu Wazungu wanawaita Magaidi
 
Back
Top Bottom