KING MAUGO BONDIA

KING MAUGO BONDIA

welding1682

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2019
Posts
2,151
Reaction score
4,681
Huyu mwamba namuona sana kwenye mapambano mpaka ya nje ya nchi lakini sioni hata waandishi wa habari wakiongelea habari zake nini tatizo, kama Kuna anayemjua zaidi atuwekee hapa!
 
Maugo kaishajichokea, we toka enzi za kina mashali huko..

Nyingine njaa tu.
 
Back
Top Bottom