King Mswati II akamata kichud mwingine

********* anafaidi sana huyu!
ila lazima jamaa wanamsaidia tu, hata kama anakula viagra, haweza kuwatosheleza wote.
Safari hii, viongozi wetu wa juu hawakwenda huko nao wale hata makombo?

US hawana mpango naye, hana resource yoyote ya maana.
 
Na bado utakuta ana vimada kibao nje atakuwa anasaidiwa tu huyu kuna waziri wake mmoja amejiuzulu kwa kashfa ya kummega mkewe
 
Na bado utakuta ana vimada kibao nje atakuwa anasaidiwa tu huyu kuna waziri wake mmoja amejiuzulu kwa kashfa ya kummega mkewe

Lazima, sasa hayo ni yale unayoyajua, je ni jamaa wangapi wanammegea wake zake? Huyo si ana Binti mkubwa (about 20 yrs)???

The guy is a disaster...
 
Ila hiyo picha ya hapo juu inaonekana dada alipania kweli kuwa one of the queens.....
 
Jamaa anafaidi ile mbaya....hivi kwa nini hao Marekani wasimQattafi huyu fisadi wa ngono.....


Wivu tu unakusumbua wewe,ungekuwa wewe ungeviacha vitoto mmwaaaa like that< au kwa sababu ni yeye sio wewe? naombea ningekuwa mimi wachaa,cheki kitoto as if kimechongwa
 
Huyo ni binti yake si mke wake na hapo ilikuwa ni sherehe ya kuzaliwa binti huyu. angalia wanavyofanana.
 
Huyo ni binti yake si mke wake na hapo ilikuwa ni sherehe ya kuzaliwa binti huyu. angalia wanavyofanana.


Tehe tehe tehe tehe...... binti? angalia hao wake wengine huko kulia walivyojaa wivu!!! Maskini? one of those days, they were also beuty quuen her mdada....wanawake tuna shida jamani.
 
Hivi binti yake nae huwa anapanga foleni kusubiri bahati imwangukie?
 
Hivi binti yake nae huwa anapanga foleni kusubiri bahati imwangukie?

Mh sina hakika ila nakumbuka years ago binti yake alileta kizaa zaa cha ajabu.

Jamaa ameishiwa sera kabida hadi ameanza kuoa binti zake.....
 
Wakina mswati wapo wengi sana tatizo hapa bongo hatutaki kuhalalisha.. nafikiri umefika wakati muhafaka kuhakikisha katiba mpya ina weka kifungu hiki kwa raisi ajaye madarakani.....
 
Nikuulize swali Kaka yangu El Toro: Hivi hata ingekua sio mwanae, na anataka kuoa tena, ubaya uko wapi? kabla ya kumlaumu unatakiwa kuelewa sababu za msingi za King kua na wake wengi, na pia sababu za msingi za western countries kukataza mke zaidi ya mmoja alafu ndio ufanye comparison: kwa interest zake yeye Mswati, na interest ya population yake, bora afate mila ya Swaziland au afate mila ya west?
 
dah! Kudadeki jamaa anafaidi si kawaida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…