King Of Frp Removal and Phone Bypass

King Of Frp Removal and Phone Bypass

The bump

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
1,488
Reaction score
2,908
Fundi simu matatizo ya software anaejitambua Yupo hapa.

Kazi zote za Kuondoa Lock simu za android na ios karibuni sana.

Yawezekana kwa namna yoyote umesahau password ya simu uliyonayo Leta tutoe.

Yawezekana icloud imepga lock, Leta tutoe up to iphone 13 (kurudi nyuma)

Lock simu ngumu kama AQUOS karibu tuvunje minyororo hiyo.

Kubwa kuliko Umechoka Kufanya Malipo ya Kila siku kwa simu uliyokopeshwa?

Njoo tukuweke Huru uwe Huru zaidi wale wote wa Simu za Mikopo Mtetezi wenu yu Hai.

HIi ni kwa SOFTWARE tu
 
Ofisi ipo wapi au hili sio tangazo la biashara?
 
You're playing with fire, though any decision you make in life you're responsible for it
 
Mnamtisha huyu kuwa atakamatwa bila kujua Kwamba hata nyie anaweza kuwakamata, what if yeye ni maelekezi anataka kuwakamata nyie wezi WA humu?

Lakini pia ndio ajira yake....hiyo ameishi akiifanya so pelekeni mizigo muwe huru
 
Back
Top Bottom