Jina hujawahi hata kuliskia hiyo sura utakuwa umeionea wapi?Ndio nani huyu , weka picha yake
Rama dee ni kati ya wasanii wanaojifanya wanaharakati lakin hawana maendeleo kutwa kupanda bajaji na bodaboda
Acha shobo usiropoke kama hujui mambo Rama D yupo zake mtoni umemuona wapi na boda boda? Bora uwe fukara wa mali lakini upewe akili inayofanya kazi vizuri!majungu hayasaidii!
Ndio nani huyu , weka picha yake
Ati King of RnB?? Hahaha nimecheka sana!
Jamaa kasema yupo katika hatua za mwisho za kuachia albam yenye mchanganyiko wa nyimbo zake zote kali,
albam itakuwa na nyimbo 13 zikiwemo
1.KIKAO CHA FAMILY
2.NAJUA
3.MAMA WATOTO
4.SIO WAOAJI
5.MAKEUP
6.WANAHOFIA
7.SARA
8.KUWA NA SUBIRA ft Mapacha
9.KAMA HUWEZI ACHA ft jide
na nyinginezo...
Kuna watu wanamfananisha na Ben paul huyu jamaa ila kiukweli kibongobongo hana mpinzani kwa hakika