TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
haha si kweli mkubwa, kama una ushahidi wa hilo toa. Pia sioni tatizo katika hilo, hata kama kuna ukweli Viol.Huwa nachoshangaa kila ukizungumzia hip hop huko USA lazima Dr Dre atazungumzwa kwa njia moja ama indirect,hivi wakati dre anaanza hakuwa wa kabla yake?hakuna aliyemsumbua kwenye soko??
sizungumzii kwamba ni rapper but u-producerhaha si kweli mkubwa, kama una ushahidi wa hilo toa. Pia sioni tatizo katika hilo, hata kama kuna ukweli Viol.
sasa nimekusoma, mwanzo nilidhani unasema mimi ndio namzungumzia jamaa kila napozungumzia rap/hip-hop.sizungumzii kwamba ni rapper but u-producer
yeye na Suge Knight wana ugomvi?sasa nimekusoma, mwanzo nilidhani unasema mimi ndio namzungumzia jamaa kila napozungumzia rap/hip-hop.
Ni hivi, jamaa ana mchango mkubwa sana kwenye game. Watu kama Cube, Snoop, Eminem wameletwa kwenye game kwa namna moja au nyingine na mshkaji.
Kama rapper sio mzuri kivile, na ngoma nyingi huwa anaandikiwa na kina D.O.C, ngoma yake 'Still' aliandikiwa na Jay. Pia kama producer kuna story kwamba kazi nyingi hafanyi yeye moja kwa moja. Pia aliwahi kuwa Dj kabla hajawa rapper/producer, according to Grandmaster Flash kwenye Bet Hip-Hop Awards '06.
Kama mjasiriamali, ambayo ni nguzo mpya ya Hip-Hop, nadhani amebadili sura ya mchezo na headphones zake, japo kwangu credits nyingi hapa nampa Jimmy Lovine.
uko sawa kabisa, jamaa hana mpinzani kwa upande huo.Nate dogg kwa mie atabaki namba 1 kwa waimba chorus wote niliowahi kuwasikia... Check thi$
Till i collapse
21 question
area codes
all about u
any many mo...
Waliwahi kuwa na ugomvi, wakapelekana hadi mahakamani Dre akidai haki zake, ila alishindwa. Kwa sasa sidhani kama bado Dre anam-mind Big Suge, japo pia si washkaji.yeye na Suge Knight wana ugomvi?
Waliwahi kuwa na ugomvi, wakapelekana hadi mahakamani Dre akidai haki zake, ila alishindwa. Kwa sasa sidhani kama bado Dre anam-mind Big Suge, japo pia si washkaji.
Dr Dre aliwahi kuwa producer, mwanzilishi na mmiliki wa Death Row ya Suge na Harry-O.Tell me apa kwamba dr dre alisha wai kuwa producer wa death row ya suge
uko sawa kabisa, jamaa hana mpinzani kwa upande huo.
Yeah man, nazifahamu hizo pia. Asante kwa kunikumbushaUsisahau na hzi me&ma music
Ooh no
Regulate alofny na warren g
Odaa man TUPACified naomba unifanyie mpango wa ngoma za outlaws baada ya kfo cha pac kma zipo (najua uzi ni irrelevant but kirastafar t wont chnge a ting) OneNate Dogg. Hooks ain't been the same toka Mchizi alipoacha kufanya, kuumwa mpaka anakufa. Baadhi ya sehemu alizoharibu na sauti yake ni 'i like dat' ya Houston, 'Next episode' ya Dre, 'can't deny it' ya Fabo, 'gangsta nation' ya The Westside Connection, na my favourite aliyosimama mwenyewe 'i got love'. Halafu Jamaa hakuwa na mambo mengi kabisa.
At times huwa nafikiria Him, Pac and Johnny J pamoja huko walipo watakuwa na mawe mengi sana. Perfect Combination
Sijawahi kuziskia wala kuzitafuta, jamaa walikuwa so mediocre bila Pac. Ila nikikutana nazo ntazipandisha man, usiwaze.Odaa man TUPACified naomba unifanyie mpango wa ngoma za outlaws baada ya kfo cha pac kma zipo (najua uzi ni irrelevant but kirastafar t wont chnge a ting) One
Sijawahi kuziskia wala kuzitafuta, jamaa walikuwa so mediocre bila Pac. Ila nikikutana nazo ntazipandisha man, usiwaze.