Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Dec 2, 2021 #1 Wazungu walikibeba hiki kitanda na kukiweka kwenye museum zao. Afrika ilikua na technolojia kabla ya ujio wa Wazungu. Hiki kitanda kilibebwa katika msafara wa Mfalme na alipopumzika aliwekewa kitanda apimzike.
Wazungu walikibeba hiki kitanda na kukiweka kwenye museum zao. Afrika ilikua na technolojia kabla ya ujio wa Wazungu. Hiki kitanda kilibebwa katika msafara wa Mfalme na alipopumzika aliwekewa kitanda apimzike.
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Dec 2, 2021 #2 And Howard Carter was cursed for opening King Tut's tomb!!!!!
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Dec 3, 2021 #3 Misri sio afrika kiuhalisia
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Dec 3, 2021 #4 mdukuzi said: Misri sio afrika kiuhalisia Click to expand... Misri ni Afrika hasaa na inafaidika sana na rasilimali za Afrika, hasa rasilimali maji. Aidha Misri haijawahi kujigamba kwamba ni nchi nje ya Afrika.
mdukuzi said: Misri sio afrika kiuhalisia Click to expand... Misri ni Afrika hasaa na inafaidika sana na rasilimali za Afrika, hasa rasilimali maji. Aidha Misri haijawahi kujigamba kwamba ni nchi nje ya Afrika.
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Dec 3, 2021 #5 mdukuzi said: Misri sio afrika kiuhalisia Click to expand... ni wapi.....hata sehemu za mashariki ya kati hasa Israeli ni africa. Mfereji wa suez ndiyo uliharibu tu
mdukuzi said: Misri sio afrika kiuhalisia Click to expand... ni wapi.....hata sehemu za mashariki ya kati hasa Israeli ni africa. Mfereji wa suez ndiyo uliharibu tu