Kinga dhidi ya upara

Chakuchambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
342
Reaction score
63
Wakuu na waataalamu wa JF naomben msaada wenu kwani mi nna umri wa miaka 22 ila tayari dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipendi hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili linaloonisabashia navaa kofia maasa 24.
 
Wakuu na waataalamu wa Jf naomben msaada wenu kwan mi nna umri wa miaka 22 ila tayar dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipend hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili linaloonisabashia navaa kofia maasa 24

Kuvaa kofia ndio unakiongezea kasi.Huo si ugonjwa asee.Achia tu kichwa wazi watu watakuzoea.
 
Acha ujinga kwn ugonjwa?mm niliota upara nikiwa nina miak 19..
 
Nakubali sio ungonjwa tatizo kimekuja mapema mnoo miaka 22 bora kingentokea kuanzia miaka ya 40
 
Shukuru wewe kipara tu mimi ninamiaka 21 ninakipara na mzi kbao kichwani kama lowasa
 
Usikosoe uumbaji wa Mungu,,unahisi kuna madhara gani ukiwa na kipara kwa umri mdogo? Nijuavyo mimi kipara na symbol mojawapo ya dalili za kuwa na mpunga,,sasa unakataa hiyo heshima??
 
Jaribu ku-Google website ya Ma-doctor wa Rooney utajua dawa yake, although it costs much.
 
Soma sana ndugu kama huja soma utakichukia tu mana sis iman zetu mtu mwenye kipara ni msomi
 
Aisee jitahid upate pesa nyingi sana coz kipara kwa mtu mackini ni km kichekesho atleast ukiwa na visenti kidogo vitakusaidia kufanya watu wachukulie poa na utakua na confidence.
So it is an opportunity
 
Wakuu na waataalamu wa JF naomben msaada wenu kwani mi nna umri wa miaka 22 ila tayari dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipendi hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili linaloonisabashia navaa kofia maasa 24.
Jikubali ulivyo utaishi kwa raha !tiba ya kipara ni ya gharama kubwa na ina madhara kiafya
 
Nenda Jmhall Kuna Hebalist Wako Pale Ulizia Wanauza Dawa Za Malasia.
 
Wakuu na waataalamu wa JF naomben msaada wenu kwani mi nna umri wa miaka 22 ila tayari dalili za kuwa na kipara zishajionesha na siipendi hali hii nifanye nin niweze kuepuka na janga hili linaloonisabashia navaa kofia maasa 24.

Mkuu kama ni dalili basi waweza kukikomesha kwa kutafuna Kitunguu Saumu kila siku asubuhi na jioni. Hata kama siyo asubuhi na jioni lakini hakikisha kwa siku hukosi.
Na usipendelee kuvaa kofia inakiongezea kasi.
Mie nina mfano hai kabisa kuna jamaa yangu kilianza hivyo akashauriwa na ikawa tabia yake kutumia sasa ana nywele kibao hata dalili ya kuwa na kipara haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…