The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 10,805 Reaction score 14,181 Dec 5, 2017 #1 simple 1.usilale mchana 2.usile vitu vizito saa moja kabla ya kulala 3.dakika 5 kabla ya kulala gugumia glass 2 za maji enjoy you sleep hii imeniponya kabisa NB:mwili hutii sayansi
simple 1.usilale mchana 2.usile vitu vizito saa moja kabla ya kulala 3.dakika 5 kabla ya kulala gugumia glass 2 za maji enjoy you sleep hii imeniponya kabisa NB:mwili hutii sayansi
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,235 Reaction score 5,854 Dec 5, 2017 #2 Jinn Al Mizz. Haya.
kauzu12 JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 868 Reaction score 783 Dec 6, 2017 #3 Kwaiyo kama mtu kazi zake za usiku atakiwi kulala mchana?