Kinga ya Rais wa Kenya Haihusishi Makosa Chini ya Mkataba wa Roma!

Kinga ya Rais wa Kenya Haihusishi Makosa Chini ya Mkataba wa Roma!

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
495
Reaction score
379
Ndugu wana jf. Rais wa kenya bwana Uhuru kenyata tayari katiba yake ya kenya ilishamfunga, ibara ya 143 ibara ndogo ya 4 ya katiba ya kenya inasema kuwa "


"(4) The immunity of the President under this Article shall not extend to a crime for which the President may be prosecuted under any treaty to which Kenya is party and which prohibits such immunity".

Tafasiri yake ni kuwa "Kinga ya Rais chini ya ibara hii aihusishi uhalifu ambao Rais anaweza kushitakiwa chini ya mkataba wowote ambao kenya ni sehemu ya mkataba huo na ambao (mkataba) unakataza kinga hiyo.

Kwa mujibu wa kumbukumbu za ICC kenya ilisaini mkataba wa kujiunga nayo tarehe 11/8/1999, na Ratification or acceded ilifanyika tarehe 15/03/2005.

ikumbukwe kuwa Mkataba wa ICC upo kimya juu ya"kinga" ya kutoshitakiwa kwa Kiongozi aliyepo madarakani labda ICC itumie "Busara"

Uhuru kenyata na Ruto wakati wa kampeni waliahidi kuwa wataipa ushirikiano wa hali na mali mahakama ya ICC, leo hii wanataka kesi zao ziahirishwe au zifutwe na Nchi za kiafrika nazo eti zinataka uhusiano wa ICC na Nchi za kiafrika utazamwe upya, kwa nini sasa?

wanataka kujiondoa kwa maslahi ya nani?

Museven naye ni ndumilakuwili, huyu huyu mseveni aliiomba ICC itoe hati ya kukamatwa kwa Joseph kony, lakini huyu huyu tena anasema ICC inawaandama waafrika sana kuliko wazungu,


HIzi ndo kesi za waafrika ICC.

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #efefef"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #efefef"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #efefef"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Bosco Ntaganda[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #efefef"][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Callixte Mbarushimana[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #efefef"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #efefef"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #efefef"][TABLE="width: 435"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Mathieu Ngudjolo Chui

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Jean-Pierre Bemba Gombo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Joseph Kony,
Vincent Otti, Okot Odhiambo
and Dominic Ongwen
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Ahmad Muhammad
Harun ("Ahmad Harun") and
Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman
("Ali Kushayb")
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Omar Hassan Ahmad Al Bashir
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Bahar Idriss Abu Garda
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Abdallah Banda Abakaer Nourain
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Abdel Raheem Muhammad Hussein
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. William Samoei Ruto and Joshua Arap Sang [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Uhuru Muigai Kenyatta [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Walter Osapiri Barasa



[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Saif Al-Islam Gaddafi and Abdullah Al-Senussi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]



[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Laurent Gbagbo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Charles Blé Goudé




[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: DocVersion"][/TD]
[TD]The Prosecutor v. Simone Gbagbo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





 
Viongozi wa Afrika ni wanafiki wakubwa mno.
 
Laa laa laa,
Kuuumbeeee, basi hakuna kujitoa icc,
somebody should make the hashtag in social medias and boycott this movement of these greedy leaders not to drwithdraw from the ICC.
am tryin making mine in twitter
 
Ndio maana juhudi zinafanywa ili kwanza Kenya ijiondoe katika uanachama wa ICC kwa kuwa kama bado ikiwa ni mwanachama Uhuru haponi!!!
 
mahakama kuu iliyoketi mjini nairobi leo, imelitupilia mbali ombi la wanahaarakati wawili kuwa kenyata asiende the hague, kwa kuwa kutakuwa na ombwe la kiuongozi.

akitoa hukumu hiyo jaji mumbi wa mahakama hiyo amesema hajaona ombwe linalosemwa, hivyo akaamuru ni lazima rais kenyata aende the hague kama inavyotakiwa na mahakama hiyo

mapema wiki hii au ilimtaka kenyata kutokwenda the hague
source
daily nation
 
mahakama kuu iliyoketi mjini nairobi leo, imelitupilia mbali ombi la wanahaarakati wawili kuwa kenyata asiende the hague, kwa kuwa kutakuwa na ombwe la kiuongozi.

akitoa hukumu hiyo jaji mumbi wa mahakama hiyo amesema hajaona ombwe linalosemwa, hivyo akaamuru ni lazima rais kenyata aende the hague kama inavyotakiwa na mahakama hiyo

mapema wiki hii au ilimtaka kenyata kutokwenda the hague
source
daily nation

Mahakama ya Kenya ni mhuimili unaojitegemea hivyp na mahamuzi yao hayategemei au na marais ( baadhi) wake waroho na wenye huruka ya mauaji ya ubabe kwa faida yao na familia zao. Hongera mahakama ya Kenya kuliona hilo.
 
Huyu mama Mumbi si ndie Jaji aliyemtoa nishai Kibaki kuhusu sijui maDC,naona huyu ndio mumbi wa pekee asiyejali nyumba ya mumbi
 
Kweli mkuu. Jana Prof mmoja wa sheria kule US alilichambua hili vizuri kwenye Straight Talk Africa ya VOA na alisema hawawezi kujitoa hata kidogo!.
 
akitoa hukumu hiyo jaji mumbi wa mahakama hiyo amesema hajaona ombwe linalosemwa, hivyo akaamuru ni lazima rais kenyata aende the hague kama inavyotakiwa na mahakama hiyo

Mahakama kuu inawezaje kuamuru kuwa ni lazima Uhuru Kenyatta aende The Hague?

Mahakama kuu ya Kenya inahusiana nini na ICC au hata na kesi za hao Uhuruto?
 
Mahakama kuu inawezaje kuamuru kuwa ni lazima Uhuru Kenyatta aende The Hague?

Mahakama kuu ya Kenya inahusiana nini na ICC au hata na kesi za hao Uhuruto?

Mkuu,

the motion had been filed by some over zealous Kenyans (read private citizens)...eti wanting the
High Court of Kenya to bar the President from going to The Hague for his trial. It was a dumb move
from the jump and so there you have it.
 
Kifungu 27 (1) cha Mktaba wa Roma kinasema hivi:

"This Statute shall apply equally to all persons without any distinction based on official capacity. In particular, official capacity as a Head of State or Government, a member of a Government or parliament, an elected representative or a government official shall in no case exempt a person from criminal responsibility under this Statute, nor shall it, in and of itself, constitute a ground for reduction of sentence"

Hivyo si sahihi kwamba mkataba uko kimya kuhusu kutoshtakiwa kwa kiongozi aliyeko madarakani. Kiongozi yeyote (Rais, Waziri Mkuu, mbunge,n.k) anaweza kushtakiwa ICC. Kwa mujibu wa kifungu hiki, hata zaimio la AU kwamba viongozi walioko madarakani wasishtakiwe ni batili. Labda wafanye kazi ya ziada ya kubadili kifungu hiki.
 
Hivi nyie mnafikiri Uhuru na wenzake hawajui ilo? Wanajua saaana ila ndo mwendelezo wa viongozi wa Afrika kutaka wawe miungu watu.

Kwanza kosa lilifanyika kumruhusu agombee kwa kuogopa nguvu za kabila lake. Mwanasheria mkuu wa serikali alichemka sana kwa kuifanya kesi yake kutokuwa sehemu ya kenya kwamba wakati katiba mpya inasema mikataba au sheria ilizoingia kenya ni sehemu ya kenya.

Kwa kutumia kipengele cha maadili kwa mtu mwenye tuhuma mpaka ajitakase kugombea, Uhuruto wasingeruhusiwa kugombea.
 
Mahakama kuu inawezaje kuamuru kuwa ni lazima Uhuru Kenyatta aende The Hague?

Mahakama kuu ya Kenya inahusiana nini na ICC au hata na kesi za hao Uhuruto?

Isome katiba ya kenya vizuri. Mikataba au sheria za kimataifa ilizosaini Kenya ni sehemu ya sheria za Kenya.

Kama ukifuatilia utagundua kwamba kuna kesi ilifungulia baada ya katiba kupitishwa juu ya Rais wa Sudan al bashir akamatwe na kupelekwa the hague.

Mahakama kuu ilitoa hukumu na kusema lazima akamatwe na kukabidhiwa ICC na kutokufanya hivyo kenya itakuwa imevunja katiba yake.

Bashir hakutia mguu Kenya na ninaimani hata sasa hawezi kweni hasipo kamatwa itawaweka pabaya Uhuruto

http://www.fairobserver.com/article...mark-ruling-against-sudan-president-al-bashir
 
Tutashika adabu. Tuheshimu haki na utu wa binadamu na kila mtu kuwa chini ya sheria na utawala wa haki bila kujali hadhi yake katika jamii.
 
Patamu hapo, ngoja nikachukue popcorn nione hili muvi litaishia wapi.
 
Mtaongea mengi,,,kuhusu Kenya,,,lakini,,,mjue kwamba Kenya ina,,,
wenyewe.

Pili,,,Uhuru Kenyatta alichanguliwa na watu millioni 6 na
hata beberu Obama na Chameron,,,wanaweza,, kuwaeleza.

Tatu,,,,hii katiba iliundwa kushirikiana na hawa,,western boot lickers
ambao hawawezi kuishi bila kuona sanamu ya wazungu na hivi karibuni
tutafanya referendum na kuifanya hii katiba ya mkenya lakini si iwe
ni ya kutetea maslahi ya mabeberu.

Na,,mwanzo ni kujiondoa kutoka,,ICC,,kwani hakuna yeyote katika hii
dunia ambae anaweza kutuzuia.


So,,ICC,,Rome,,Obama,,bint Soda,,,,wasituletee,,,ni sisi wakenya ambao
tutaamua kama kua chini ya minyoro ya mabeberu,,,,ama,,la.

Lakini wengi,,in Kenya,,,,twasema,,enough is enough.

Kwahivyo,,,,wachaneni na ya Kenya,,,,kwani,,hamuyawezi.😎😎

Kwahivyo,,,wacheni kusumbua roho zenu,,,kwani,,,Hague,,,hatuendiiiiiiiiiii.

Mwaweza,,,,,kutulazimiza????????? Hamna nguvu yeyote ya kufanya
hivyo,,,,kwahivyyo,,,tulieni,,,, kwani,,,hamjaona sinema mpaka,,mwisho.
 
Jamani hata mimi nasikitika sana kuona nchi za africa ikiwemo Tanzania nchi yangu inaingilia case ya Kenya kweli inakatisha tamaa sana kweli unaweza kujitoa kwenye muungano ambao umekuwapo kwa mika mingi kisa ati unatetea jirani yako UHURU kenyata?
Sisi case zao zinatuhusu nini Tanzania? Kweli kama Tanzania mmefikia mahali mnakubali ushawishi wa raisi alishiriki kwenye machafuko na kuua roho za watu zaidi 1000 ninasema kila neno na tendo lenu litapelekwa hukumuni siku ya mwisho
HUWEZI KUSHABIKIA CASE YA JIRANI AMBAPO HUNA USHAHIDI NA UNATETETA UJINGA NA UUAJI AMBAO WALA WEWE HUHUSIKI NA ATI KUJIONDOA KWENYE MUUNGANO WA NCHI ZA AFRICA?
Hii ni aibu kwa Raisi Kiwete na Membe mnajitoa kwenye Mkutano huu kwa kisa gani? Ninyi mlikuwepo wakati wenzenu wanashiriki kutoa roho za watu?
Mimi ni raia mdogo sana na maskini sana lakini niliposikia Tanzania na sisi ati TUMESHAWISHIWA NA UHURU KENYATTA TUJITOE KUHUDHURIA MKUTANO IMENIUMA, NINA UCHUNGU MKUBWA SANA JE USHABIKI WA NINI?
KILA MTU ABEBE MZIGO WAKE MWENYEWE.
 
Back
Top Bottom