King'amuzi cha antenna azam kinauzwa 70,000

0ozg Tz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
4,155
Reaction score
11,168
Nipo mwanza, Sengerema

Namba: 0759589005

Ni kipya kabisa

Kama una king'amuzi cha Azam cha dishi tutabadilishana na nitakupatia 100,000
 
mmmm kimekukuta nini?
Wauzaj walinidanganya kuwa kinaweza kushika hata nikiwa umbal wa km 30 kutoka jijin mwanza,kumbe sio kwel,uwezo wake ni ndani ya km 20
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…