Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 411
- 725
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu heshimu kwenu.
Naomba msada ya namna ya kuondoa au ku fix hii error code yaa Azam antena. Kingamuzi ni Kipya
Hapo ni muingiliano umetokea kati ya Azam na king'amuzi kingine kinachotumia antenna.Wakuu heshimu kwenu.
Naomba msada ya namna ya kuondoa au ku fix hii error code yaa Azam antena. Kingamuzi ni Kipya
Diagnosis tayri, treatment ni nini?Hapo ni muingiliano umetokea kati ya Azam na king'amuzi kingine kinachotumia antenna.
Huwa mara nyingi inatokea Azam na starTimes hata ukicheki utakuta kuna baadhi ya chanel za startimes zinaonyesha fresh tu japo ni king'amuzi cha azam,
Huwa mara nyingi inatokea minara yao ikizingua katika sehemuu uliyopo.
hawezi kusolve ni azam wenyewe mitambo yao huwa inakaa sawa yenyewe tu.Diagnosis tayri, treatment ni nini?
Lipia kifurushi itafungukaWakuu heshimu kwenu.
Naomba msada ya namna ya kuondoa au ku fix hii error code yaa Azam antena. Kingamuzi ni Kipya