King'amuzi cha Azam Antena

Ubungo Mataa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2018
Posts
411
Reaction score
725
Wakuu heshimu kwenu.

Naomba msada ya namna ya kuondoa au ku fix hii error code yaa Azam antena. Kingamuzi ni Kipya
 

Attachments

  • IMG_20240818_173448_825.jpg
    2.1 MB · Views: 26
Wakuu heshimu kwenu.

Naomba msada ya namna ya kuondoa au ku fix hii error code yaa Azam antena. Kingamuzi ni Kipya
Hapo ni muingiliano umetokea kati ya Azam na king'amuzi kingine kinachotumia antenna.
Huwa mara nyingi inatokea Azam na starTimes hata ukicheki utakuta kuna baadhi ya chanel za startimes zinaonyesha fresh tu japo ni king'amuzi cha azam,
Huwa mara nyingi inatokea minara yao ikizingua katika sehemuu uliyopo.
 
Diagnosis tayri, treatment ni nini?
 
Wote wamekudanganya.

Kwenye remote yako bonyeza OK ikishatokea list ya channels bofya kitufe cha kushoto au kulia list itabadilika hadi zitokee za azam ndo ubonyeze channel moja wapo list itakaa sawa

Kilichotokea ni kwamba umeweka list ya channels ambazo si za azam (OTHER CHANNELS)
 
Bonyeza menu then Manual search then kwenye frequency binyeza hadi utakapofika 594Mhz then zungusha antena yako mpaka Quality na strength ziwe at least 45 then bonyeza ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…