King'amuzi cha Azam kunani E-FM haipatikani?

King'amuzi cha Azam kunani E-FM haipatikani?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Ni muda sasa radio ya E-FM haipatikani kwenye king'amuzi cha Azam, kunani?
 
Nayo DIZZM TV siku ya pili leo kimya AZAM TV ,,kulikoni?
 
Nasikia pia tbc 2 inaongezwa AZAM TV ,,ni tetesi au ni kweli?
 
Dizzim, CNN na zile mbili za katuni za watoto zimehamishwa kundi hazipo kwenye kifurushi cha 13,000.
Mabadiriko ni jambo jema katika kuboresha huduma kwa walaji lakini taarifa ni muhimu pia juu ya maboresho hayo.
 
Ni kifurushi kipi tbc 2 inapitikana niicheki mkuu
 
Back
Top Bottom