Jaribu ku update hiyo ios iwe kuanzia 10 na kuendelea itakubali, na mimi nilikuwa na shida hiyo ila ikaja kukubali. Ila kama unayo kuanzia 10 na kuendelea litakuwa tatizo jingineNaomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku install upya lakini mambo na hayo hayo..! mwanzoni haikusumbua hata kidogo.
(Natumia Iphone 6 plus pia nimejaribu kwenye iPhone 8 .)
Je,hili ni tatizo kwa wote ?
Je kuna njia ya kufanyikisha hili ?
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Mkuu hapo kwenye ku update ios iwe kuanzia 10 ndo unafanyaje ufafanuzi kidogoJaribu ku update hiyo ios iwe kuanzia 10 na kuendelea itakubali, na mimi nilikuwa na shida hiyo ila ikaja kukubali. Ila kama unayo kuanzia 10 na kuendelea litakuwa tatizo jingine
Nenda kwenye setting, then General, hapo kwenye general upande wa kulia utaona neno sofware update, click itaanza kuangalia kama kuna update yoyote. Vile vile angalia kwanza version uliyonayo hapo juu kwenye neno about, kwa chini utaona version unayotumia. Kama ni chini ya 10,ndio tatizoMkuu hapo kwenye ku update ios iwe kuanzia 10 ndo unafanyaje ufafanuzi kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ios huwa zina changamoto kweli!! Unaweza ukashinda wiki nzima una update app, inakataa, una jaribu ku download app, inakataa ila siku nyingine inakubali kilainiimmh... wacha niendelee kujaribu , nimecheki nina tumia iOS 12.1.4 ( up dated )
wacha nijaribu option nyingine labda ya kutumia adroid .
shukrani sana kaka.