King'amuzi cha AzamTv ( online)

King'amuzi cha AzamTv ( online)

Yasser

Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
52
Reaction score
28
Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku install upya lakini mambo na hayo hayo..! mwanzoni haikusumbua hata kidogo.
(Natumia Iphone 6 plus pia nimejaribu kwenye iPhone 8 .)
Je,hili ni tatizo kwa wote ?
Je kuna njia ya kufanyikisha hili ?

Natanguliza shukrani zangu kwenu
 
inafanya kazi pwatu mtu wangu , register otherwise ni ngimu kufungua hata Chanel 1 , bofya register then fuata maelekezo,azam ni bomba!
 
Back
Top Bottom