King'amuzi cha Continental ovyo kabisa

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Posts
19,697
Reaction score
15,497
Hawa jamaa walikuwa hawako hewani siku nyingi. Wakarejea na kutuma meseji Kwa tuliokuwa wateja wao. Cha ajabu ukiwapigia hawapokei simu, na ikitokea bahati mbaya wakapokea wanajibu utumbo na kukata simu.

Hii meseji yenu nyie continental mnatutumia ya nini?!


Ndugu mteja,kama bado unapata shida kulipia au kupata matangazo yetu tupigie huduma kwa wateja 0768988900, mafundi
0769642384/0620672582/0625098736 karibu.
 
Nnavyo viwili sija vitumia mwaka wa 3 sasa .anae viitaji aje na 5k tu
 
mara mia moja startimes kuliko hicho 🐒
 
Hvyo ving'amuzi bado vipo🤣🤣🤣🤣
Wajinga ndyo waliwao
 
mweeh kbla hamjanunua ving'amuzi muwege mnafanya research japo kidogo.
sasa ndo likisimbusi gani hilo!
 
Hii kampuni wameshafilisika kitambo tu
 
Kwahiyo na wewe ukawa unawatafuta ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…