Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #61
makelele feki mbona utayajua tu.....akiona hushuki atakwambia ukojoe loh!!!!!
[MENTION]kwani aki-fake si anajidanganya mwenyewe... mwanaume ukishatua mzigo sokoni una haja gani kujua kama mtu ka-fake au la?
mkuu.....wahida mwenyewe muoga kama nini.......kasikia nitamchapa katoroka mazima tangu may bana.muoga huyoo...!!!
mwanaume makini anajua, leo perfomance nzuri au kaboronga, hata ile dakika utakayofika kileleni anaijua, na siku hujafika atasema leo marry sijakusikia, kama nimechoka nitavunga vunga tu kujichosha
hahaha sio hivyo , stress biz na life mambo hayo hakiwa pamoja inakuwa hakuna gud conection, samahani partners napenda sana kuwa hapa
mwangalie usoni utajua
ahasante ruta ,kama vip ,unaweza kumpa mtoto wako wa kike ukipata ,wahida mean wa kwanza in arabic