King'amuzi cha kileleni feki...

hahahahaha yaan ruta ,unanidanganya mwenzako ,hivi hivi , huyu NANI unasema wewe? hahaha

let me see you beautiful face....... wahida ..lol
 
Last edited by a moderator:
hahaha ,unavituko wewe ,, waarabu sio wabaya wametutawala zanzibar na tumezaliwa kupitia kwao ,we happy kuwa nao,, ahsante kwa kunikubali na mm nakua minia pia
 
hahaha ,unavituko wewe ,, waarabu sio wabaya wametutawala zanzibar na tumezaliwa kupitia kwao ,we happy kuwa nao,, ahsante kwa kunikubali na mm nakua minia pia

wahida nitumie picha yako niuuone uarabu wako.............
 
Last edited by a moderator:
aa mimi niko black sio mwaarabu ,, tena sio mzuri kabisaaaa ,wala usitake kuona picture utakuja kimbia bure RUTA na sitaki nikukimbize y ar my partner ,,
 
aa mimi niko black sio mwaarabu ,, tena sio mzuri kabisaaaa ,wala usitake kuona picture utakuja kimbia bure RUTA na sitaki nikukimbize y ar my partner ,,

god's work is perfect....... wahida just let me see you
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, sorry nimechelewa kujibu, lakini weye ndiye uliyeanza kunichekesha ndugu yangu,ila ni kweli haya yapo mbona cha muhimu kuweni makini tu wezi siku hizi wengi sana!
 
Usichezee hawa viumbe wanaaitwa wanawake jamani akiamua kufake kilele na wewe usijue anaweza hata kama umeishi nae miaka kibao acha kabisaaa hahahaha ogopa women!!! wanaume wengi wanapenda kujisifu kishughuli lakini wanashindwa kuwaridhisha wanawake zao bila ya wao kulijua hilo... hatari sana hii....mmmh nimependa wanaume walivyokoment humu lakini mmmhh badooo Mungu awasaidie...nawasilisha..
 
eeeeeeeee
 
read the face and mind of that woman, aliyefika kilele sura yake huwa imejaa SATISFACTION, ukiwa mtaalamu satisfaction huwezikuifake!! walah nawaambia labda wewe uwe wale wanaume wachoyo wasiopenda kujua kama mwanamke kainjoy kama alivyoinjoy yeye!
 
muuza ubuyu angalia kwa kicheko na nderemo kibao ukaja kuuziwa ubuyu mbichi.............
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, sorry nimechelewa kujibu, lakini weye ndiye uliyeanza kunichekesha ndugu yangu,ila ni kweli haya yapo mbona cha muhimu kuweni makini tu wezi siku hizi wengi sana!
[MENTION]
Sydney[/MENTION] tuwe nao macho kivipi yaani nitoe matongotongo machoni kwangu..........
 
muulizen arabela,anavyoenjoy ukipata ki dikoda original ha ha ha mtu hatoki...

[MENTION]Zubedayo Mchuzi[/MENTION] kwa huu musuli kwenye avatar yako lazima hakuna kileleni feki..............
 
Nashangaa umeanza lini kuwa MALENGA WETU. Umechemka sana. Ngoja nimalize kazi fulani hapa ili nimwage views zangu!
[MENTION]
Caroline Danzi[/MENTION] karibu sana....usichelee nakusubiria...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…