Kingamuzi cha startimes na ungo wake unauzwa

cecil dom

Member
Joined
May 4, 2017
Posts
47
Reaction score
11
Nauza kingamuzi "decoder" ya startimes complete pamoja ungo wake na waya wake wa kutoka kwenye ungo mpaka decoder

Location : dodoma mjini
Bei : 90,000/= haipungui
Phone : 0692 477 837
Kama unandugu dodoma mwambie aje aone na tufanye biashara

Picha ya ungo nimeshindwa kutuma picha yake
 
Duuh hv unajua dukani kinauzwa bei gani?
 
Mtoa mada unashida kubwa sana.
Nimenunua mwaka jana 78,000.
Na nimeambiwa havijapanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…