King mkucha
Member
- Oct 14, 2016
- 89
- 71
Unapatikana wapi?Je unahitaji king'amuzi Cha startimes? Basi kwangu umepata... Ni king'amuzi Cha antenna na kinaonyesha channels zote local... Kinapatikana kwa Bei ya tsh 45000 tu... Nitafute kwa namba 0654388979 ili ujipatie king'amuzi chako
Nakupa 20000 kilete Arusha basi.Nina kinga'amuzi kama hicho kipo marangu moshi sikitumii kama kuna mdau mwenye hela anitafute
Unapatikana wapi?
unapatikana wapi old is gold
Mangi sasa hiyo hela siitaishia kwenye nauli mm nko moroo ila kama mdau akitokea ntafanya connection ya mawasiliano apewe...Nakupa 20000 kilete Arusha basi.
Mangi sasa hiyo hela siitaishia kwenye nauli mm nko moroo ila kama mdau akitokea ntafanya connection ya mawasiliano apewe...