mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 110
STARTIME wanaonyesha full timeAnayejua Kingamuzi gani Naweza kununua nikaona zile Movie za Zamani za MGM zenye Nembo ya Simba anijuze. Maana Nazielewa Sana. Najua humu kuna wataalamu hawashindwi kitu.
MGM ya startimes ni fekiSTARTIME wanaonyesha full time
Kwanza nini kirefu cha MGM isije kuwa mnaangalia tu...
Naomba ufafanuzi mkuuMGM ya startimes ni feki
mangonjoli ulikuwa unafaham hii?.Metro-Goldwyn-Mayer
Metro Goldwyn MeyersKwanza nini kirefu cha MGM isije kuwa mnaangalia tu...
Mzee nakuamkiaAnayejua Kingamuzi gani Naweza kununua nikaona zile Movie za Zamani za MGM zenye Nembo ya Simba anijuze. Maana Nazielewa Sana. Najua humu kuna wataalamu hawashindwi kitu.
Mimi mwenyewe nazipenda sana.Anayejua Kingamuzi gani Naweza kununua nikaona zile Movie za Zamani za MGM zenye Nembo ya Simba anijuze. Maana Nazielewa Sana. Najua humu kuna wataalamu hawashindwi kitu.