King'amuzi kizuri

samoa

Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
16
Reaction score
0
Wana jamii naomba msaada wa ushauri kuhusu king'amuzi gani kizuri naweza kununua.
 
DSTV ninayo. Nataka kwa ajili ya local channels
 
Nunua satellite dish umalize fitina ving'muzi vingi ni mbwembwe tu
 
Kuna wengine wanasema digitek ni king'amuzi kizur pia. Sijui kama kuna mwana jamii anayetumia atupe uzoefu.
 
DSTV ninayo. Nataka kwa ajili ya local channels

Kwenye DSTV pia unapata local chanel kuna TBC,Chanel 10 na Star TV kama unataka ITV nunua kingamuzi chake Digitek
 
Kama una DSTV nunua satellite dish ya kawaida maana ni nadra na pengine hakuna king'amuzi chenye huduma ya loko chanel zoooooote
 
mimi nina startime nainjoi local chanels zote bila magumashi nnachofurahi tu ni kwamba tbccm imekata yenyewe kwangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…