The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
mbona sielewi,ina maana kuanzia january ukinunua ka tv kako hutoweza kuona tbc,itv etc mpaka ujiunge na kina zuku?mbona mambo ya ajabu haya? Terrestial tv zipo kote duniani hazihitaji king'amuzi jamani,kunani,au ni dili za watu?
Hahahah geto kwenyewe narudi kulala 2 sa ninunue king'amuz cha nn?
fanya haraka ninunulie Dstv
Daughter, if you have cash, go for Zuku ingawa hutaweza kuona local channels
Weekend je???
BTW, nina mpango wa kuja kwako . . . .fanya manuva ya channels bana mi sio mpenzi wa hizo movie zenu!
Kanunue dstv decorder andaa kama kil na sitini,,then utachagua package unayoitaka kuanzia dola 10(16000) hadi dola 80 premium(126000),kwa nini ujinyime raha mtoto wa kike kwani unalipa wewe si unalipiwa? Chukua dstv
Wkend si ndo siriz? Chanel za kibongo naangalia habari na bunge 2...so kwaupande wangu hakina manufaa kwangu ila ukija tutaangalia tukutrit vp....
Dstv si mpaka uwe na dish shem wangu... Btw najilipia mwenyewe!!!
sijakupata vizuri mkuu,una maana ili utumie digital ni lazima utumie king'amuzi,kwani TV za kisasa hazina in built system mahsusi kukamata terrestial signal kama Itv/channel ten etc? Samahani kwa usumbufu nataka tu kujua.
Habar ya mchana wadau....
Mwenzenu mie miaka yote nilikuwa natumua Chadema kuangalizia TV station. Sasa ndo washatangaza kuwa from 31st December,2012 hatutoeza kupata station yeyote. So nataka kununua king'amuzi je ninunue kipi kati ya vifuatavyo:-
- Ting
- Startime
- Zuku na vinginevyo
NB. unaponishauri unanimbia faida na hasara zake!!!!
Startimes wanaboa sana siku hizi.
Mie kila siku nahangaika kusearch mpaka natamani kukipigiza hata hicho king'amuzi chenyewe!
Sasa hizo habari za kibongo na bunge utazipata wapi kama channel zinafungiwa?
Haya anzeni kujadili mtanitrit vipi kabla sijatia maguu!
nadhani ni teknolojia ya terrestial ndio ina mushkeli ndugu...urushaji na udakaji matangazo katika mfumo huu huweza kuathiriwa na hali ya hewa sana mvua
Startimes wanaboa sana siku hizi.
Mie kila siku nahangaika kusearch mpaka natamani kukipigiza hata hicho king'amuzi chenyewe!
Viti virefu...
mi kweli hawa wachina washaona dili wanahamisha hamisha chanel tu bila taarifa kila wakati ngoja mengi analeta vya kwake tuone vitakuwaje.
Santeeeee!
Watu washaanza kudhani we golikipa!