Kingdom Animalia (Cazorla, nge)

sakharov

Senior Member
Joined
Jan 28, 2015
Posts
122
Reaction score
13
KINGDOM---ANIMALIA (CAZORLA, NGE)

ORDER NAME-SCORPIONES (NGE)
Nge si jina geni kwa watu, ni kiumbe cha ajabu ktk hii dunia kikiwa na sifa mbalimbali ambazo ni tofuati na viumbe wengine. Nge muda mwingine anatambulika km ni mnyama anae kula mnyama "predator". Sifa pekee ineyomfanya nge awe wa kipekee ni namna anavyowinda windo, Kwa kawaida Nge anakua na macho 6-12 japo hayana muono mzuri, hivyo humfanya Nge kuona nyuzi 360 yaani mbele, nyuma, kulia, kushoto na juu.

Maajabu ya nge ni namna anavyowinda kwani anatumia vinyweleo vilivyopo mwili mzima na hasa miguuni, Kazi kubwa ya hivi vinyweleo ni kudetect vibration ya windo yake na kutuma ktk ubongo wake kisha kufanya calculation ya mwelekeo na umbali wa windo lake. Baada ya kupata majibu basi huweza kukamata windo lake na kisha kumuingizia sumu ktk uti wa mgongo kwa kutumia mkia wake na kufanya windo lake kuparalaizi na mwisho Nge anajipatia mlo. Pia Nge hua anadesturi ya kutulia tuli wakati anawinda ili kufanya mahesabu vzr. Pia Nge km anaishi ktk mazingira magumu anaweza kuslow down metabolism na kuishi kwa windo moja pekee kwa mwaka pamoja na kutumia oxygen ndogo.

Na ufahamu ya kwamba ktk Nge zaidi ya 1000 ni Nge 25 "killer scorpion" pekee wanaoweza kumuua binadamu.-

ORDER NAME---PRIMATES (CAZORLA)

Cazorla si jina geni kwa wanampira, Ni mchezaji wa ajabu ktk hii ulimwengu wa mpira akiwa na sifa mbalimbali ambazo ni tofauti na wachezaji wengine. Cazorla ni mchezaji anaetambulika km mchezaji anaetumia miguu miwili ktk kucheza mpira yaani "Ambidexterity" Sifa pekee inayomfanya Cazorla awe wa kipekee ni namna anavyocheza.

Cazorla ana macho 2 yanayomfanya kuona nyuzi 360 yaani kuona mbele, nyuma, kushoto na kulia wkt Nge yeye ana macho 6-12. Maajabu ya Cazorla ni namna anavyotoa pasi, kutengeneza nafasi za kufunga pamoja na kutoa pasi za magoli kwa wenzake kwa kutumia hisia kubwa (instincts). Kazi kubwa ya hisia zake ni kuhisi movement za wachezaji wenzake na kuzituma ktk ubongo wake na kuzifanyia calculation ya mwelekeo na umbali wa wachezaji wenzake.

Baada ya kupata majibu basi hutoa pasi za macho, assists au yy mwenyewe kufunga kwa miguu yake yote miwili yenye sumu na kuwaacha wapinzani wakiwa wameparalaiz. Pia Cazorla hua na desturi ya kutulia tuli wkt anachezesha tim ili kufanya mahesabu vzr. Pia Cazorla anaweza kuslow down metabolism na kucheza kwa muda mrefu uwanjani na kutunza energy na pia- kuweza kucheza kwa- msimu mzima.

Na ufahamu ya kwamba ktk wachezaji 100 ni 1 pekee anaeweza kucheza kwa miguu yote"Ambidexterity".-
 
Kati ya wachezaji wanaonikosha huyu ndio anafuata baada ya yule wa kuvaa namba kumi

kulia twende kushoto usiulize anapiga pass zinazokata kona hii ni maajabu ambayo dunia inastaajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…