truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 338
Job true true
Usinikumbushe, siku moja tulikaa pale Posta mpya majira ya jioni, watu wako kwenye mishe za kuwahi daladala kwenda home. Sasa wakapita mabinti wawili warembo tu, basi huyu mwenzetu mmoja akaamua awasifie kidogo, ndo akamwambia yule binti aliepita upande wetu huku akionyesha kwa kidole, " your milk is so nice ".
Mpaka leo nikikumbuka nacheka peke yangu.
dah! nadhan mbwembwe2 hzo..
notis!!!!!
this shop is closed bikoz it is not open!!!
bai meneja.
Si ajabu aliaga 'am going to plant a car there...'
notis!!!!!
this shop is closed bikoz it is not open!!!
bai meneja.
Kuna sehemu fulani nlikuwa napita njia nikaona baadhi ya mabango ya majina ya bishara yameandikwa kama ifuatavyo:-
LEADS FIRST SALON,TUNABAN CD na jengine GOGEMENT DAY.Sijui ni mbwembwe za kuvutia wateja au kutokuja Ung'eng'e kwa ufasaha