Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airtel nao wameenda kutoa ushahidi had mwaka uishe utamzuia kutumia mitandao yoteDemu wangu nimempiga burn kutumia huu mtandao
Halafu ukijiondoa wanakurudisha tena!Mm kitu ambacho kimenishangaza nimekuwa nikisikia tangazo la Tigobizness likiwaalika makampuni na watu binafsi wanaohitaji huduma ya Bulk Sms ...binafsi hizi msg zina kera sanaaa yaan kama kuna kitu kina nikwaza basi ni kitu, una kuta simu unatumiwa Mi sms ya Ku Bet as if yaan mtu addicted na kamari, kumbe hawa jamaa wana fanya biashara , yaan hiki kitu TCRA wange kitazama upyaaa
Tabia ya kuwatumia wateja ma sms ya ku bet mara matangazo sijui umeahinda 1M
Siri ya mteja na kampuni ya simu ina mipaka yake. Hii siyo TZ tu lakini nchi zote duniani. Serkali inapotaka taarifa za simu za mteja kupitia vyombo fulani, kampuni haziwezi kukataa hasa pale inapo husu usalama wa taifa, polisi, na vyombo nyeti vya usalama.
Sidhani km utaweza.Demu wangu nimempiga burn kutumia huu mtandao
Kuna njia maalum za utoaji taarifa.Lakini sio kama huyu wa Tigo.Yeye alidhani bado Tigo ni ya wanafunzi.Kwa kielelezo hiki hiki asishangae tukajiunga tukampeleka mahakamani.Siri ya mteja na kampuni ya simu ina mipaka yake. Hii siyo TZ tu lakini nchi zote duniani. Serkali inapotaka taarifa za simu za mteja kupitia vyombo fulani, kampuni haziwezi kukataa hasa pale inapo husu usalama wa taifa, polisi, na vyombo nyeti vya usalama.
Nchi nyingine zina sheria inayovitaka vyombo vinavotaka taarifa hizo kuleta barua ya mahakama ikionyesha hizo habari zinatakiwa kwa matumizi gani. Hii mbowe kutumia simu ya TIGO ni coincidence tu. Mbowe bangetumia somu ya Voda, Airtel, TCCL au mtandao wowote taarifa hizo zingetolewa. Ni muhimu kuelewa haya kuliko kukurupuka kuilam,u TIGO, utafikiri TIGO ina uhuru wa kukubali au kukataa kutoa hizo taarifa.
Marekani na ubabe wake walikataliwa na kampuni ya iphone kufungua simu ya gaidi mpaka iphone wakaipeleka mahakamani lakini iphone ikagoma kutoa password kulinda faragha ya mteja wao tena alie kua gaidi kabisa ....Tukiruhusu maswala ya faragha zichezewe tu bila utu wa mtu kulindwa huo ni ujinga ...hapa tz mfano jf ilipelekwa mahakama kwa maswala ya haya haya mbona walikomaa na wameshinda hii mitandao yetu watuombe radhi.Siri ya mteja na kampuni ya simu ina mipaka yake. Hii siyo TZ tu lakini nchi zote duniani. Serkali inapotaka taarifa za simu za mteja kupitia vyombo fulani, kampuni haziwezi kukataa hasa pale inapo husu usalama wa taifa, polisi, na vyombo nyeti vya usalama.
Nchi nyingine zina sheria inayovitaka vyombo vinavotaka taarifa hizo kuleta barua ya mahakama ikionyesha hizo habari zinatakiwa kwa matumizi gani. Hii mbowe kutumia simu ya TIGO ni coincidence tu. Mbowe bangetumia somu ya Voda, Airtel, TCCL au mtandao wowote taarifa hizo zingetolewa. Ni muhimu kuelewa haya kuliko kukurupuka kuilam,u TIGO, utafikiri TIGO ina uhuru wa kukubali au kukataa kutoa hizo taarifa.
Mkuu siyo mimi niliyechora hiyo katuni 😁!Siri ya mteja na kampuni ya simu ina mipaka yake. Hii siyo TZ tu lakini nchi zote duniani. Serkali inapotaka taarifa za simu za mteja kupitia vyombo fulani, kampuni haziwezi kukataa hasa pale inapo husu usalama wa taifa, polisi, na vyombo nyeti vya usalama.
Nchi nyingine zina sheria inayovitaka vyombo vinavotaka taarifa hizo kuleta barua ya mahakama ikionyesha hizo habari zinatakiwa kwa matumizi gani. Hii mbowe kutumia simu ya TIGO ni coincidence tu. Mbowe bangetumia somu ya Voda, Airtel, TCCL au mtandao wowote taarifa hizo zingetolewa. Ni muhimu kuelewa haya kuliko kukurupuka kuilam,u TIGO, utafikiri TIGO ina uhuru wa kukubali au kukataa kutoa hizo taarifa.
BanDemu wangu nimempiga burn kutumia huu mtandao
Hawa wanaopinga Tigo au Vodacom kutoa siri za Mteja ni wajinga sana!Siri ya mteja na kampuni ya simu ina mipaka yake. Hii siyo TZ tu lakini nchi zote duniani. Serkali inapotaka taarifa za simu za mteja kupitia vyombo fulani, kampuni haziwezi kukataa hasa pale inapo husu usalama wa taifa, polisi, na vyombo nyeti vya usalama.
Nchi nyingine zina sheria inayovitaka vyombo vinavotaka taarifa hizo kuleta barua ya mahakama ikionyesha hizo habari zinatakiwa kwa matumizi gani. Hii mbowe kutumia simu ya TIGO ni coincidence tu. Mbowe bangetumia somu ya Voda, Airtel, TCCL au mtandao wowote taarifa hizo zingetolewa. Ni muhimu kuelewa haya kuliko kukurupuka kuilam,u TIGO, utafikiri TIGO ina uhuru wa kukubali au kukataa kutoa hizo taarifa.
Basi kampuni ya tigo bora jamii forum wanajua kulinda faragha za wateja wao.Siri ya mteja na kampuni ya simu ina mipaka yake. Hii siyo TZ tu lakini nchi zote duniani. Serkali inapotaka taarifa za simu za mteja kupitia vyombo fulani, kampuni haziwezi kukataa hasa pale inapo husu usalama wa taifa, polisi, na vyombo nyeti vya usalama.
Nchi nyingine zina sheria inayovitaka vyombo vinavotaka taarifa hizo kuleta barua ya mahakama ikionyesha hizo habari zinatakiwa kwa matumizi gani. Hii mbowe kutumia simu ya TIGO ni coincidence tu. Mbowe bangetumia somu ya Voda, Airtel, TCCL au mtandao wowote taarifa hizo zingetolewa. Ni muhimu kuelewa haya kuliko kukurupuka kuilam,u TIGO, utafikiri TIGO ina uhuru wa kukubali au kukataa kutoa hizo taarifa.
Usidanganyike Jamii Forums wanaweza kutunza siri zaidi ya TIGO. Jamii forums pia inawajibika kutoa taaifa zetu kama ziomeombwa kisheria. Usikae hapo unabwabujika ukifikiri JamiiForums ikombwa taarifa zako itazikatalia kama ipo kisheria. Yote unayoyandika humu ni ya kwako. Siku ukivuka mipaka na ukatenda kosa la jinai JamiiForums itatoa kila kitu chako. Wanachohitaji Jamii Forums ni official request ambayo ina support na sheria. That is it. That is why you need to be cautious and also be able to support any allegations against anybody. If not careful you may find yourself between muscle men wanting to entertain you.Basi kampuni ya tigo bora jamii forum wanajua kulinda faragha za wateja wao.
Apple never said no to FBI, they just reminded them to follow the law when requesting such i8nfo. The same is for tiGO or any communication company with personal info. They can say no, until the law is followed. I know opnce JamiiForums was requested to furnish the police with personal info, because police did not follow guidelines governing obtaining of such info. The police had to go back and follow guidelines in requesting info, and info was given. Don't just sit there breaking the law, hoping that JamiiForums will never surrender your info, it will.Tuwe na akili kidogo basi!
Siri za mteja na kampuni za simu zinatakiwa kutunzwa! Ndiyo maana Apple walikataa kutoa Siri za mteja wao kwa FBI,sababu walijua kabisa kwamba ukitoa tu siri za mteja,ndiyo ingekua basi tena kwa kampuni ya apple!
Hapa Tanzania,siri za wateja ni muhimu sana kutunzwa, Melo huyu aliwahi kamatwa,pelekwa polisi,hadi Mahakamani,ili atoe siri za wateja wake wa hapa JF,jamaa alikomaa hakutoa siri za wateja wake! Ndiyo maana hadi leo watu wanaandika thread tu hapa JF,ila thread ziwe na maana,mbaya hua anazifuta!!
Kwa Kampuni ya tiGO,wangeomba barua toka Mahakamani,je wanataka nini hasa toka kwenye line ya tiGO ya Mbowe?? Wapewe kile wanachoomba pekee,na kuwe na uhuru wa baadhi ya watu kujua ni kipi kimetolewa!
Siku hizi bank ukichungulia salio la mteja,ni kosa kubwa sana! Na wao mitandao ya simu kuwe na data protection,mtu au staff yoyote asiweze kupata access yakudukua mawasiliano ya mtu,hadi management nzima itoe go a head ndiyo mawasiliano ya mtu yatolewe!
Sent using Jamii Forums mobile app