KINGO: Aweka wazi jinsi Tigo wanavyomwaga siri za wateja wao!

Mm kitu ambacho kimenishangaza nimekuwa nikisikia tangazo la Tigobizness likiwaalika makampuni na watu binafsi wanaohitaji huduma ya Bulk Sms ...binafsi hizi msg zina kera sanaaa yaan kama kuna kitu kina nikwaza basi ni kitu, una kuta simu unatumiwa Mi sms ya Ku Bet as if yaan mtu addicted na kamari, kumbe hawa jamaa wana fanya biashara , yaan hiki kitu TCRA wange kitazama upyaaa
Tabia ya kuwatumia wateja ma sms ya ku bet mara matangazo sijui umeahinda 1M
 
Halafu ukijiondoa wanakurudisha tena!
 
Siri ya mteja na kampuni ya simu ina mipaka yake. Hii siyo TZ tu lakini nchi zote duniani. Serkali inapotaka taarifa za simu za mteja kupitia vyombo fulani, kampuni haziwezi kukataa hasa pale inapo husu usalama wa taifa, polisi, na vyombo nyeti vya usalama.

Nchi nyingine zina sheria inayovitaka vyombo vinavotaka taarifa hizo kuleta barua ya mahakama ikionyesha hizo habari zinatakiwa kwa matumizi gani. Hii mbowe kutumia simu ya TIGO ni coincidence tu. Mbowe bangetumia somu ya Voda, Airtel, TCCL au mtandao wowote taarifa hizo zingetolewa. Ni muhimu kuelewa haya kuliko kukurupuka kuilam,u TIGO, utafikiri TIGO ina uhuru wa kukubali au kukataa kutoa hizo taarifa.
 
Kuna njia maalum za utoaji taarifa.Lakini sio kama huyu wa Tigo.Yeye alidhani bado Tigo ni ya wanafunzi.Kwa kielelezo hiki hiki asishangae tukajiunga tukampeleka mahakamani.
 
Hao wanaosema kua ni lazima mitandao ya simu kutoa information za watumiaji wake inapotakiwa. Wa refare mtandao wa jf ulikataa katakata kutoa tuelewane kutoa information za watumiaji wake na siyo kua shahidi.
 
Marekani na ubabe wake walikataliwa na kampuni ya iphone kufungua simu ya gaidi mpaka iphone wakaipeleka mahakamani lakini iphone ikagoma kutoa password kulinda faragha ya mteja wao tena alie kua gaidi kabisa ....Tukiruhusu maswala ya faragha zichezewe tu bila utu wa mtu kulindwa huo ni ujinga ...hapa tz mfano jf ilipelekwa mahakama kwa maswala ya haya haya mbona walikomaa na wameshinda hii mitandao yetu watuombe radhi.
 
Mkuu siyo mimi niliyechora hiyo katuni 😁!
 
Hawa wanaopinga Tigo au Vodacom kutoa siri za Mteja ni wajinga sana!
Ni wangapi ambao watu wake tumia Hii mitandao kupata taarifa za waliowaibia? Mbona ya Sabaya watu walishangilia? Tuwe objective wakati mwingine
 
Basi kampuni ya tigo bora jamii forum wanajua kulinda faragha za wateja wao.
 
Basi kampuni ya tigo bora jamii forum wanajua kulinda faragha za wateja wao.
Usidanganyike Jamii Forums wanaweza kutunza siri zaidi ya TIGO. Jamii forums pia inawajibika kutoa taaifa zetu kama ziomeombwa kisheria. Usikae hapo unabwabujika ukifikiri JamiiForums ikombwa taarifa zako itazikatalia kama ipo kisheria. Yote unayoyandika humu ni ya kwako. Siku ukivuka mipaka na ukatenda kosa la jinai JamiiForums itatoa kila kitu chako. Wanachohitaji Jamii Forums ni official request ambayo ina support na sheria. That is it. That is why you need to be cautious and also be able to support any allegations against anybody. If not careful you may find yourself between muscle men wanting to entertain you.
 
Apple never said no to FBI, they just reminded them to follow the law when requesting such i8nfo. The same is for tiGO or any communication company with personal info. They can say no, until the law is followed. I know opnce JamiiForums was requested to furnish the police with personal info, because police did not follow guidelines governing obtaining of such info. The police had to go back and follow guidelines in requesting info, and info was given. Don't just sit there breaking the law, hoping that JamiiForums will never surrender your info, it will.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…