Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Sio lazima uelewe
Hahaha dah πππ
Muda wa kwenda kanisani huo.
Aha hahaha ,poa hapo nimekusomaMuda wa kwenda kanisani huo.
Mke wake yupo ndani anajiremba tu, hivyo Kingo kaona mke wake anamchelewesha.Kampakia kwenye gari.
Sasawamefika kanisani, ibada inaendelea.Yeye anawahi kuingia kanisani awahi ibada kamuacha mke wake nje ya kanisa anavaa.