Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Naona kuna umuhimu wakila mbunge kwenda bungeni kwa njia ya kuchaguliwa na wananchi.... haya mambo ya kupeana ubunge madhara yake tumeyaona kwa hawa wazee awawajali kabisa wananchi na mwisho kuona chama ndio uhai wao ndio mungu wao...
Inasikitisha sana kuona wazee wenye heshima zao kama makamba naongea utumbo tena kwa kuwaita waandishi wa habari....bila kujua madhara yatakayotokea kwa chama.....
Bila kumpongeza comrade Sitta.... kwa ustaarabu alioonyesha ndani ya mafisadi kwenye mkutano wa NEC.... hakika nasema hawa wazee wangejua mwakani wanaitajika kwenda kwa wananchi kuwaambia walichofanya bungeni wasingekuwa na mawazo finyu kiasi kile.... anyway tunaitaji kuwaombea at least watengeneze njia zao mbofumbofu.....
Mwisho naona haya matataizo yote yanaletwa na rais wetu kwa kuchagua watu bila kujua IQ zao na umuhimu wa cheo anachompa.... tunatanguliza salamu kwa rais kama umepewa madaraka tunahitaji watu wanaowajali wananchi na sio njaa zao kuzipeleka bungeni na mwisho kuua chama cha majambazi kwa ujumla