Nyinyi watu hamnipendi ndio maana JK anapata shida kuunda baraza lake. Kila akimaliza list anaangalia JF wanasemaje, anakuta mmeshatibua, ana scratch majina na kuanza upya. Ningekuwa mimi namshauri aende "kivyake vyake" tukutane baada ya kutangaza hivyo awaaambie wazime internet pale..ama sivyo hawatamaliza kuunda hilo baraza.
Huu umekuwa mwaka mgumu sana kwa huyu mzee...mara NEC na sasa uwaziri.Kuna joke mtaani kuwa alikuwa anakata majina ya watu kuingia NEC,akajisahau akakata na la kwake!I felt sorry for him the other day,baada ya Lowassa kujiuzulu,Kingunge alivyohojiwa alishindwa kujibu harakaharaka.
Huu umekuwa mwaka mgumu sana kwa huyu mzee...mara NEC na sasa uwaziri.Kuna joke mtaani kuwa alikuwa anakata majina ya watu kuingia NEC,akajisahau akakata na la kwake!
I felt sorry for him the other day,baada ya Lowassa kujiuzulu,Kingunge alivyohojiwa alishindwa kujibu harakaharaka.
Ni wazi kuwa mabadiliko haya ya juzi hakuyatarajia na hatimaye ameweza kuona "nuru" gizani!! Angefanya hivi miaka mitano iliyopita, leo angekuwa mshauri na mzungumzaji huru kama kina Warioba na Butiku..
na kesho lazima atushukuru wakati akitaja Baraza la mawaziri.Nyinyi watu hamnipendi ndio maana JK anapata shida kuunda baraza lake. Kila akimaliza list anaangalia JF wanasemaje, anakuta mmeshatibua, ana scratch majina na kuanza upya. Ningekuwa mimi namshauri aende "kivyake vyake" tukutane baada ya kutangaza hivyo awaaambie wazime internet pale..ama sivyo hawatamaliza kuunda hilo baraza.
Mimi nadhani tatizo sio Kingunge, tatizo ni Rais mwenyewe kama anaona bado anamhitaji who will say no wen pres atakapo ku offer Ministerial post? Tena post ya kushughulikia "vyama vya siasa"
JK hakufanya uamuzi sahihi alipompa uwaziri zaidi ilikuwa ni fadhila ya kumuunga mkono kwenye kampeni.
Labda niazime maneno ya busara aliyosema YeboYebo siku 2 zilizopita.. " Waliochangia kampeni wote washarudisha pesa zao sasa JK achague wachapa kazi"
Finally, one of the longest serving politicians in the country Mr. Kingunge Ngombale Mwiru has retired from active politics.... Mr. Kingunge has decided to retire on the eve of the announcement of the new cabinet by President Jakaya Kikwete following the dissolution of the previous cabinet due to Richmond scandal!
Yawezekana, ameona "alama za nyakati"!
so kuna nafasi moja mpya ya Ubunge wa kuteuliwa..
Unajua Huyu Mzee Kazi yake eti ilikuwa kutabiri hali ya hewa Kisiasa ndani na nje ya CCM,(Political Analysist) sasa kwa hilo Wingu zito la Mvua linalo endelea kutanda Nchini,basi yaelekea ni MASIKA TUPU hadi 2010,sidhani kama JK angemhitaji tena.
Hivi hii ina maana pia na ubunge basi? nadhani ni uwaziri tu pale bungeni ataendelea kusinzia mpaka term yake ya miaka 5 itakapokwisha...
Masatu, nashukuru kwa kugusia hilo la Ubunge....lakini je kunatofauti kati ya Ubunge wa Kuteuliwa,na Wakuchaguliwa??
-Kuteuliwa na Rais....
-Kuchaguliwa na Wanajimbo....
Naomba kuelimishwa zaidi.
Kuteuliwa na Rais....
-Kuchaguliwa na Wanajimbo....
Naomba kuelimishwa zaidi.