Kingwendu kufanya collabo na demu wa Ozil

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Mwaka jana nilikuletea exclusive ya wachezaji watatu wa team ya Stuttgart ya Germany waliosimamishwa kwa kosa la kutoroka hotelini kuhudhuria show ya Diamond lakini ya leo ndio kali na kubwa zaidi.

Chanzo changu kimeniambi yule comedian/musician aliyeuza ubunge majuzi mr Kingwendu ngwendulile amepata bahati ya kufanya kazi na demu wa kiungo wa arsenal(Ozil)aitwaye Mandy Capristo.

Bahati hiyo ilkuja majuzi wakati kingwendu alipofanya show kali Jijini Frankfurt ndipo Erwin Bach ambaye ni mumewe Tina turner na music executive wa Kijerumani alipovutiwa na nyimbo kali za Ngwendulile,akamfata backstage na kumpa deal hilo
Stay tuned kwa habari zaidi,maana nafuatilia suala hili kwa karibu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaaa wewe mtu sijui huwa unawaza nini!
Kuna mwenzio anaitwa MSAGA SUMU basi balaa tupu .
 
merry christmas and happy new year na eid mubarack rafiki yng pwilo nilikuwa nje ya nchi jumapili nasafirii tena kwenda pakistan
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama nje ya nchi watu wanaenda kama wanaenda tandale siku hizi haya mzee mwezangu
Ulikamatwa na sembe nini??
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama nje ya nchi watu wanaenda kama wanaenda tandale siku hizi haya mzee mwezangu
Ulikamatwa na sembe nini??
cwezi fanya ujinga wa kubeba sembe
 
Wee lazima utakuwa pale chini ya daraja la ubungo pale Songaz ukifanya mambo yako pale chini kabla ya kuandika huu uzi.
 
Hahahahaaaaaaa jamani!
Haya safari njema kedrick
Nifah unamuamini kedrick kweli muongo huyo jamaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] et pakistani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…