Kinondoni, Dar: TAKUKURU inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa

Kinondoni, Dar: TAKUKURU inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Wilaya ya Kinondoni, inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa pamoja na kuanza kampeni za uchaguzi mkuu kabla ya muda.
1591020702778.png
1591020726534.png
1591020746847.png
 
Okoa kwanza nyumba yako ndugu kabla hujaanza kuzima moto nyumba yà jirani yako.
 
Ccm lazima afe mtu kama si Mangulo basi mapombeko vita imeshika kasi

Kweli siasa ni Ajira tamu.
 
Back
Top Bottom