Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mbona mtia nia hajatajwa!Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Wilaya ya Kinondoni, inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa pamoja na kuanza kampeni za uchaguzi mkuu kabla ya muda.
View attachment 1465763View attachment 1465764View attachment 1465765
Waambie TAKUKURUOkoa kwanza nyumba yako ndugu kabla hujaanza kuzima moto nyumba yà jirani yako
Hakika manHuu mwaka kama unafanya siasa safi unaweza ukatoboa