HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 218
Mwana Flani wa facebook kanivutia Uzi ohhh mambo vp bro ..
Nakubali kazi zako Nini ...
Tuwe friends Moja na mbili nikasema fresh
Mara kauliza ohhh unaish wap nikamwambia kino , akasema dahhhh kino Pana reputation mbaya .. wanawake sio wahaminifu , wanaume wengi wahuni ..
Jaman ehhh wazee wa kino je ni kweli !?