Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kusikia kuwa Wagombea wote kabisa wa Vyama vya Upinzani wameenguliwa wote kabisa nchi nzima ili wapate akili timamu sawa sawa na kujifunza.Wakuu,
Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT
Mtaa wa Mwinyimkuu, Kata ya Mzimuni, Jimbo la Kinondoni wagombea wa vyama vya upinzani wote wameenguliwa. CCM hawako tayari kwa uchaguzi wa huru na haki.
Mlisema ni Magufuli, hahaha! Kiko wapi sasa?
Ule wimbo ulioanzia CCM na nyie wapinzani mkaingia mkenge bila kujua mkaimba chorus: "uchaguzi ule ulikuwa uchafuzi, mama kaimarisha demokrasia, mama amewapa nafasi Sawa wapinzani, mama karuhusu maandamano, mama karuhusu mikutano ya hadhara, wapinzani walinunukiwa na Mwendazake, " ....na hizo ni rasharasha, elnino unakuja! Ndani ya CCM kuna mumiani, mafia ambao hata mwenyekiti wao anawaogopa wasije wakagusa "fuse" yake akapiga shot !
Absolutely.Nahisi viongozi wa vyama vya upinzani ni mamluki wa ccm,kwanini wasisusie uchaguzi wote ili waachie ccm wenyewe hadi katiba ibadilishwe? Kwa sababu kwa katiba hii ya sasa hakuna uchaguzi huru utakaofanyika.
Hujui msemo wa "ukisusa wenzio twala"?Nahisi viongozi wa vyama vya upinzani ni mamluki wa ccm,kwanini wasisusie uchaguzi wote ili waachie ccm wenyewe hadi katiba ibadilishwe? Kwa sababu kwa katiba hii ya sasa hakuna uchaguzi huru utakaofanyika.
Mbowe aliingia "maridhiano" huyu huyo aliyekataa kuwa hawatashiriki uchaguzi hadi Katiba mpya na kisha akageuka na kushiriki wakati msimamizi wa uchaguzi ni mteuliwa na Kada wa CCMNahisi viongozi wa vyama vya upinzani ni mamluki wa ccm,kwanini wasisusie uchaguzi wote ili waachie ccm wenyewe hadi katiba ibadilishwe? Kwa sababu kwa katiba hii ya sasa hakuna uchaguzi huru utakaofanyika.
Hawaoni shida, kwao ni kawaida.Kinachotafutwa na CCM ni vita ya wenyewe kwa wenyewe ili waendelee kutawala daima
What does 'kwa ukamilifu' mean? Wa CCM alikuwa na upekee gani?
Uko sahihiMlisema ni Magufuli, hahaha! Kiko wapi sasa?